msaada designing Rich internet Application with accessiblity for blind and low vision users

Kizzy

Member
Joined
Mar 5, 2011
Posts
85
Reaction score
17
wadau naombe msaada wa kudesign RIA website using ASP.NET 4 C# OR VB, any idea will do plz.
 
wadau naombe msaada wa kudesign RIA website using ASP.NET 4 C# OR VB, any idea will do plz.

Dah!!!! yaani hapo umemaliza malezo na unategema utapata msaada woote. Hii labda sheikh yahya au babu loliondo anaweza kukusaidia?

Kwa melezo yako mafupi bora utafute mtu mpe mshiko maana sijui kama watu watajua pa kuanzia kukushauri

But ngoja nisubiri na mimi nitajifunza


 
Mdau uniliyejibu hapo juu.Maelezo ni hayo tu kikubwa hapo ni kudesign website ambayo itakuwa accessible na blind and low vision users nothing more. Nimelisearch kiasi na kukutana na na kitu kinaitwa Aural CSS,lakini hii technology kwa sasa hivi ni opera web browser inaisupoti, na si web browser zingine.
 

So unataka kutengeneza website inayoongea?
Unajua hasa maneno acceisibility na blind kwenye web yana maana gani?

Mimi nimeona maelezo uliyotoa ni too brief wataalam kukupa ushauri. Binafsi sio mtaalam Lakini navyojua ASP.NET 4 C# OR VB for programming. Na wala watu watakaondika katika pplication katika hizo program hawatafanya kitu kuhusu accesibility.

mambo ya aceesibility ni kwenye HTML na CSS. Na lazima accesibility iwe na mipaka. Hakuna website ambayo ni 100% accesible. Sasa ukitaka website ya watu wasiooona kabisa 100% ina maana hao wana computer zao maalum

May be if u re talking of colur blind. na mara nyingi kwenye webdevelopment wakisema blind wanamaanisha colour blind. Kudesign system ya watu vipifu kabisa duh si mchezo ngoja tusubiri


Any way mi Noona requiremnt yako hajielezi vizuri au ni project ya chuo nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…