the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,907
polen apply kwa UDOM chuo cha Madini ni sehemu ya UDOM
Po Box 1696 Dodoma, email info@mri.ac.tz maombi yanaanza kutolewa mwezi Februari hadi Mei kila mwaka.Form za kujiunga huwa zinapatikana ofisi zote za madini kanda zote Tanzania na Wizarani kwenyewe.Na chuo Cha Madini si sehemu ya UDOM kama mmoja alivyosema ilishindikana kuunganishwa hivyo kinaendelea kujitegemea yaani kuwa chini ya Wizara ya Nishati na Madini.
Kila raheli ila ukakomae vinginevyo utakisikia tu.
nahtaj kujiunga na chuo hiki ili nikachukue mining exprolation au mining engeneer,cjafanikiwa kukipata net hata niliposaka google.
Naomba mwenye details anisaidie kama za point znazopekelewa hapo na pia how to apply!address muhimu sana.
Thnx