Msaada: Dhakar yangu haisimami

House Boy

Senior Member
Joined
Apr 7, 2018
Posts
103
Reaction score
91
Assalaam alaykum.
Kwa anaejua dawa ya kuipa nguvu dhakar yangu anifahamishe kwa sababu haina nguvu hata kidogo.

Natanguliza shukran.
 
Assalaam alaykum.
Kwa anaejua dawa ya kuipa nguvu dhakar yangu anifahamishe kwa sababu haina nguvu hata kidogo.

Natanguliza shukran.

Tueleze tatizo vizuri , una umri gani, limeanza lini. Unasumbuliwa na kisukari au pressure, tezi dume umecheki pia?
 
Assalaam alaykum.
Kwa anaejua dawa ya kuipa nguvu dhakar yangu anifahamishe kwa sababu haina nguvu hata kidogo.

Natanguliza shukran.
eleza vizuri

umezaliwa hivyo?
ulipata ajali?
unakisukari?
umewah fanyiw upasuaji huko?
limeanza lini?
unaweza kuhisi chanzo cha tatizo ni kipi? n.k n.k

huwezi kumeza dawa za kuupa nguvu bila kutibu tatizo lililosababisha uishiwe nguvu utakua unamwaga sukari baharini
 
Ulipiga sana punyeto wakati wa ujana wako.
 
[QUOnamabadiliko, post: 26876066, member: 29470"]We mashine igome kusimama hata nguvu za kuandika ungezipata unadhani[/QUOTE]
Ila nimecheka
 
Unafanyia wapi kazi za u house boy?? Huyo boss usimwambie tafadhali
 
jana nilibahatika kuingia katika wodi ya wagonjwa wa kisukari, nimemkuta nesi anasuruhisha mke na mume, wanagombana, na mume ndio amekuwa mkali awaka huku machozi yamtoka, amtuhumu mkewe tangu yeye ameanza kuumwa mkewe anazidi kuwa mzuri na hata makalio yake yamekuwa malaini sana, sasa ikabidi nisimame kidogo nimsikilize mzee mzee anaongea huku analia, sasa mkewangu anachukuliwa na wengine nesi fanya kitu ama mimi nakufa..sasa yule nesi amwambia mzee angalia kwanza hali yako, maana mambo ndio yashakuwa hivyo tena we vumilia kwanza upate nafuu ndipo hayo masuala mengine tutajua jinsi ya kukusaidia...yule mama wa watu kakaatu pembeni kajiinamia.......hapo ndio nikajua kweli sukari haina adabu....KITU HAKIENDI MNALA
 
Kama waswas wako ni kuhusu starehe usijali Kuna msemo unasema mlango mmoja ukifungwa jaribu mwingine so umeshindwa kula bas tafuta mtu WA kukula wewe bado utapata starehe,kama issue ni watoto hapo ndipo panafikirisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…