Hii meseji imekuwa ina pop up kwenye iphone yangu mara kwa mara. Hata sasa hivi nilipokuwa ninaandika hii thread ime pop up tena.
Msaada:
-Madhara yake yapi ikiwa “Trusted” au “Not Trusted”?
-Faida yake yapi ikiwa “Trusted” au “Not Trusted”?
- Jinsi gani ninaweza kutatua ili tatizo?