Anganjwiri92
Member
- Sep 27, 2020
- 30
- 44
Habari wanaJF,
Naomba kuuliza nina diploma ya procurement and logistics management ila nina f ya mathematics kidato cha nne vipi nitakuwa na kigezo cha kusoma degree?