samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 355
mama yangu mzazi,anasumbuliwa na maumivu makali ndani ya mfupa kuanzia kiunoni hadi kwenye goti,kwa maelezo yake unauma kama kidonda ndani ya mfupa, ameenda hosp kapiga x ray wanasema kuna infection, nasasa anawiki ya 2 yupo kitandani, ombi langu wapi tunaweza kupata tiba? Pili ni dawagani anatakiwa kutumia ili walau apatenafuu.nipo morogoro.nisaidieni mama yangu anateseka jamani.