Msaada doctor tafadhali

Finest

Member
Joined
Mar 27, 2015
Posts
49
Reaction score
14
Mimi ni mschana mwenye miaka 25 Siku hizi nachoka sana mikono nikifua yaaani kama inaishiwa nguvu na kuchoka hapo ni nguo ya pili tuu.....zaman nlikua nafua mpka rundo la nguo sisikii kuchoka mikono vile vile nachoka miguu mapema nikitembea msaada plz itakua tatizo gani?
 
Unachoka unapofua tu au na kazi zingine zinakuchosha?
 
Nenda hospital ukapimwe ujue nini kinaathiri kiwango chako ama ufanisi wa calories zako.
 
Hata kazi nyingne ndogo ndogo tu

una muda gani tangu tatizo lianze?
je, ni baada ya kupoma kutoka maradhi ambayo umepona baada ya kutumia dawa?
unapo kuwa kazini, mapigo ya moyo huongezeka na kuanza kuhema haraka haraka?
kifua/pumzi zina bana?
u mjamzito?
umeumwa hivi karibuni?
kuna dawa unazo tumia/ulizo tumia?
huwa unaenda hedhi kwa siku ngapi, na damu ni nyingi kiasi gani?
una stress?
unakosa usingizi?
 
Hilo litakuwa linahusiana na tatizo la kiwango cha damu mwilini,I guess
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…