The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,537
Jamani nisaidieni wapi naweza pata specialist mzuri wa macho.Jicho langu moja la kushoto halioni vizuri naona vitu kama mawinguwingu halì hii imeanza jana nimeshabadilishiwa lens za miwani mara tatu.naomba msaada wenu