The secretary JF-Expert Member Joined Jan 14, 2012 Posts 4,148 Reaction score 2,537 Apr 29, 2012 #1 Jamani nisaidieni wapi naweza pata specialist mzuri wa macho.Jicho langu moja la kushoto halioni vizuri naona vitu kama mawinguwingu halì hii imeanza jana nimeshabadilishiwa lens za miwani mara tatu.naomba msaada wenu
Jamani nisaidieni wapi naweza pata specialist mzuri wa macho.Jicho langu moja la kushoto halioni vizuri naona vitu kama mawinguwingu halì hii imeanza jana nimeshabadilishiwa lens za miwani mara tatu.naomba msaada wenu