Habari za asubuhi wapendwa mimi niko dar hapa ila nina mdogo wangu anasumbuliwa na moyo watu wamenishauri nimpeleke muhimbili na kwa pale sina uzoefu nianzie wapi kama kuna doctor hapa yuko muhimbili ni sms nije muhimbili mnisaidie jamani
mkuu acha kumdanganya mgonjwa hakuna hospital na ina madocta bingwa kama muhimbilu kitengo cha jk mm ni mhanga wa hayo mambo nalijua pale pana madocta waliobobea sana acha kuleta blablapole sana kwa kuuguza,kama ndugu yako anatumia NHIF sawa aende muhimbili,ila kama hatumii NHIF na muna uwezo kidogo wa ki-fedha nakushauri uende hospitali binafsi kwasababu utapata huduma nzuri na kwa haraka zaidi.
Kuna hospitali moja inaitwa MOYO HEART CENTRE ipo kinondoni kwa BIAFRA jirani kabisa na OPEN university,Ni hospitali nzuri sana ambayo inahusika na matibabu ya moyo peke yake na daktari wake anaitwa Dr.Bandali.