Msaada Doctor wa Ngozi

Msaada Doctor wa Ngozi

Kite Munganga

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2006
Posts
1,773
Reaction score
952
Jamani naomba kujua wapi Dar naweza pata msaada wa Doctor anayetibia ugonjwa wa ngozi?

Please the best one
 
Nenda Muhimbili Muulizie Dr Mboneko....au Outpatient department (NEW OPD-Jengo Jipya) Book for consultation to Dr Shimwela...best wishes NOtE: Dr Mboneko ana Clinic yake Out of Muhimbili
 
Nenda Muhimbili Muulizie Dr Mboneko....au Outpatient department (NEW OPD-Jengo Jipya) Book for consultation to Dr Shimwela...best wishes NOtE: Dr Mboneko ana Clinic yake Out of Muhimbili

Asante sana kwa msaada wa angalau jina kwani namie nimepata pa kuanzia, lakini bado tungependa kama una contact zake tuzipate ili mimi binafsi nimuone kwenye private Clinic yake

Unajua madaktari wa Muhimbili ni wazuri lakini ni vigumu sana kuwapata wakiwa kazini, kuna wakati nilimtafuta cardiologist mmoja ilichukua miezi mitatu kumpata kwani mara yupo darasani, mara yupo India, mara kampeleka Mkapa Uswizi kutibiwa , mara likizo lakini nilipoonyeshwa kijiwe chake pale karibu na Posta basi ilikuwa ni fasta mwendo wa Fastrack

Tafadhali RAIATZ angalia KWENYE PM
 
Back
Top Bottom