Msaada doctor

Msaada doctor

mamy bright

Member
Joined
Nov 5, 2014
Posts
5
Reaction score
0
Ninamtoto ana miezi minne halafu nimeconcive tena.naomba ushauri je mtoto anaweza pata madhara
 
Madhara gani? Nishawaona wa mama kama wa tatu walipata mtihani kama huo. Mtoto yuko safi na anakuwa vizuri. Tatizo labda kwenye kumnyonyesha.Subiri wataalamu waje.
 
Back
Top Bottom