M mamy bright Member Joined Nov 5, 2014 Posts 5 Reaction score 0 Dec 28, 2014 #1 Ninamtoto ana miezi minne halafu nimeconcive tena.naomba ushauri je mtoto anaweza pata madhara
M mwanadamalu Member Joined Mar 14, 2013 Posts 30 Reaction score 0 Dec 28, 2014 #2 Madhara gani? Nishawaona wa mama kama wa tatu walipata mtihani kama huo. Mtoto yuko safi na anakuwa vizuri. Tatizo labda kwenye kumnyonyesha.Subiri wataalamu waje.
Madhara gani? Nishawaona wa mama kama wa tatu walipata mtihani kama huo. Mtoto yuko safi na anakuwa vizuri. Tatizo labda kwenye kumnyonyesha.Subiri wataalamu waje.