Msaada: Document gani ya kupeleka ubalozini kama ushadi wa kurudi nchini?

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Habari wakuu.

Naomba msaada kama mtu anataka kwenda nchi za umoja wa ulaya ubalozi unataka proof of willingness to return.

Kwa mtu asiye na ndoa Wala ajira anaweza kuwasilisha nyaraka ipi kama uthibitisho kwamba baada ya miezi 3 atarejea tena nchini?

Shukrani.
 
Mali zisizohamishika,leseni za biashara kubwa, Memorundum of association za umiliki wa kampuni, reference top govt leaders, sometime hata kadi za gari zoa zote
 
Habari wakuu.

Naomba msaada kama mtu anataka kwenda nchi za umoja wa ulaya ubalozi unataka proof of willingness to return.

Kwa mtu asiye na ndoa Wala ajira anaweza kuwasilisha nyaraka ipi kama uthibitisho kwamba baada ya miezi 3 atarejea tena nchini?

Shukrani.
ni vema ukacontact ubalozi husika au ukaingia web ya schengen visa ukacheki
 
Vile walivyotoa kwenye website hakuna Mali isiyohamishika na ndiyo the only document niliyokuwa nawaza. Ngoja niwapigie kesho
 
Back
Top Bottom