Nimeuliza proof Gani? Nsmsaidia dada yanguMmmmh unarudi kweli😳
Huna hata proof Moja,
All the best
Shukrani sana mkuuMali zisizohamishika,leseni za biashara kubwa, Memorundum of association za umiliki wa kampuni, reference top govt leaders, sometime hata kadi za gari zoa zote
ni vema ukacontact ubalozi husika au ukaingia web ya schengen visa ukachekiHabari wakuu.
Naomba msaada kama mtu anataka kwenda nchi za umoja wa ulaya ubalozi unataka proof of willingness to return.
Kwa mtu asiye na ndoa Wala ajira anaweza kuwasilisha nyaraka ipi kama uthibitisho kwamba baada ya miezi 3 atarejea tena nchini?
Shukrani.
Vile walivyotoa kwenye website hakuna Mali isiyohamishika na ndiyo the only document niliyokuwa nawaza. Ngoja niwapigie keshoni vema ukacontact ubalozi husika au ukaingia web ya schengen visa ukacheki
Ni ubalozi wa UjerumaniVile walivyotoa kwenye website hakuna Mali isiyohamishika na ndiyo the only document niliyokuwa nawaza. Ngoja niwapigie kesho