Msaada downloads zangu hazifunguki

Msaada downloads zangu hazifunguki

giraffe

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2010
Posts
630
Reaction score
257
Habari,nime download nokia zip code jf lakini nashindwa kuzisoma kuna ujumbe unasema adobe reader culd not open the file because it is either not supprtedfiletype or bse the file has been demaged. naomba msaada
 
mkuu umejaribu kuliextrak hilo file mana lipo kwenye zip file
 
Labda haliko compatible na software ya kulifungua labda uwe na winrar etc.
 
Back
Top Bottom