Msaada: Duka la reagents za maabara jijini Mwanza

Gmark

Senior Member
Joined
Nov 6, 2015
Posts
138
Reaction score
30
Nauliza mwenye kufahamu mahali lilipo duka la vifaa au chemicals za maabara mwanza?
 
Ni PM nikuelekeze au nipe namba yako nikuelekeze
 
Wapigieni jamaa wanaitwa Victor Kaseko na Masanja Kaale 0756556233,0752676602 na 0788995224 wako Mwanza wanajishughulisha na hizo Bidhaa.
 
Last edited:
Nenda opposite na hotel ya sparrow lipo duka
 
Ninauza pia Aparatii na chemicals, nipo Kasulu mkoa wa Kigoma nicheki kesho nikupe kwa bei ya chee, otherwise nenda Salmakona Mwanza utawakuta Waja General hao jamaa wanatisha. Ulizia pia Victoria Bookshop mtaa huo nao wanatisha kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…