Msaada: Duka la vifaa vya mazoezi (gym equips) kwa Morogoro

Msaada: Duka la vifaa vya mazoezi (gym equips) kwa Morogoro

The unpaid Seller

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2019
Posts
2,113
Reaction score
6,251
Peace,

Wakuu kwa hapo je Moro kuna maduka ya vifaa vya mazoezi nahitaji kumnunulia mtu vifaa basic kwa ajili ya home workout kama vile bench press, dambells na tredmil.

Mimi niko Mwanza maduka hapa ni mengi hata Dar pia maduka ni mengi sana changamoto kusafirisha vifaa vya mazoezi ni gharama sana hata kutoka Dar kwenda Moro gharama ni kubwa mno.

Natambua hapa jf wako wajuzi wa taarifa mbali mbali naomba kwa mwenye ufahamu wa duka la vifaa hivi kwa hapo Morogoro anijulishe lilipo labda pia anipatie na mawasiliano yao. Nashukuru

Afya ni hazina. Health is Wealth
 
Back
Top Bottom