Msaada!!!! E-mail adress za kutuma maombi kwa hawa usaid-tapp

commited

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
1,624
Reaction score
871
WADAU NAOMBA MNISAIDIE E-MAIL ADRESS ZA KUTUMA APPLICATION KWA HAWA JAMAAA USAID-TAPP, KUNA KAZI WAMETOA ZIPO ZOOMTANZANIA, LAKINI ZOOM HAWAJAWEKA EMAIL ZA HAWA JAMAA KWA ANAYEJUA ANISAIDIE

WALITANGAZA NAFASI ZIFUATAZO-MSAADA TAFADHALI


 
pale zoom unaweza ku apply directly kwenye ile link ya click here for email. The issue ni kwamba attachment hazipaswi kuzidi 2MB.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…