[HASHTAG]#sergio[/HASHTAG] 5 msaada unahitajika hukuWadau,
Msaada wenu tafadhali mimi simalizi dakika moja bila ya kuejaculate, hata nikirudia zaidi ya mara moja, bado nitatoa mapema, hii hupelekea wale ninao kutana nao kutoridhika na tendo la ndoa, nini cha kufanya, je kuna dawa yoyote inayoweza nisaidia angalau nimalize hata dakika mbili tu, au nini nifanye ili nijinusuru na hii hali. Nahitaji serious contributors kwa hili, matusi na utani, kejeli sihitaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau,

Ha ha ha we kiboko, ila kwenye punyeto umeharibuDawa ni Jizoeze kutumia kondomu kwanza unapoanza tendo kwa bao la Lkwanza na la pill kisha toa kwa bao la tatu kama ni kwa mpenzi mliyepima nae, otherwise jaribu kuwa unawaza vitu vingine wakati wa tendo usiconcetrate xana, waza madeni, kodi za nyumba, njaa, ccm, na majanga mengine hii itakufanya ikucheleweshe kikojoa but itakunyima radha lakin pia nikutoe hofu bao la kwanza huwahi kwa wote si kwako tu.
Pia uwe na maandalizi marefu kabla ya game sio kudandiana kama punda, pia punyeto kabla ya tendo husaidia kurefusha mda wa gemu.
Nakutakia utekelezaji mwema na hili halina dawa za dukani
What is the biological importance of ejaculation? Is it not perpetuation of the species? Be it early or late ejaculation the biological essence of ejaculation will he attainedWadau,