msaada:ela ya special faculty ipo au ni usanii..

msaada:ela ya special faculty ipo au ni usanii..

ProBook

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2012
Posts
559
Reaction score
264
Habari zenu wakuu..
Me naomba uliza kuhusu hii ela wanaita ya special facult kwa 1st year ni lazima kupewa au ni usanii tu maana me naona kama tumepewa ela sawa chuo kizima,,me nasona engineering..
 
Km upo St joseph utapewa ila vyuo vngne wanachakachua mf 2maini.
 
Wewe hufiki kokote..ela ndo nini? Hivi mana faulu vipi nyie
 
Back
Top Bottom