Amani kwenu wote!
Nafikiria kujiunga na SACCOS mojawapo ila kabla sijafanya hivyo, ningependa kupata elimu kidogo kuhusu SACCOS. Pia napenda kufahamu ni vigezo gani vya kuzingatia katika kuchagua SACCOS ya kujiunga ili niweze kupata faida za kujiunga na SACCOS.
Najua mle watu wanaweka pesa zao na kukopa, ila taratibu zake huwa zipoje? Hapa niangalie nini wakati nachagua moja ya kujiunga?
Ni vipi viashiria vya hatari katika SACCOS yoyote? Nitavigunduaje? (bila shaka kwa swali hili nitafahamu viashiria ya mafanikio pia). Masharti yake ni yapi?
Na jambo lolote la kufahamu na kuzingatia kuhusu SACCOS tafadhali. Napenda kusikia kutoka kwa walio wanachama wa SACCOS.
Duh, nime-search hapa JF kwa keyword "SACCOS" yamekuja mambo ya vyama vya siasa na wanasiasa tuu!(jaribu ku-search uone) Sijui vipi!!
Asanteni.