Black Coffee
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,931
- 3,177
Nitafute mimi Kwa Wakati wako nipate kukutibia upate kupona Maradhi yako. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169Hi jf doctors na wataalamu wote wa afya
Nimekuwa na hali iliyoshamiri mwilini mwangu sielewi mishipa ile ya kijani inakaza haiyumi lakini nakereka naskia siko kawaida kabisa sambamba naya miguu mpaka nyayo
Naomba mwenye ujuzi ashauri lolote nijue kwa kina like chanzo, tiba, kuzuia
Samahani kwa uandishi sijui Nimeeleweka na kama sio nitajaribu kujieleza ukiniuliza zaidi kwa comments
Ni mishipa ya mikono na miguu inayo kaa juuJaribu kuandika kwa ufasaha ili mtu hakuelewe..mishipa ya kijani ni mishipa gani hiyo??
Nashukuru mkuuUnaposema mishipa ya kijani nadhani unamaanisha ile mishipa isio na maji kwa wingi( isio na plasma) na pia ni mishipa ambayo bado damu yake haijapatiwa oksijen Sasa kwa kua umesema hiyo ndio inayo kaza Ninachoshauri nenda Hosp kapime Pressure yako kwanza.kwani hilo linaweza kua ni tatizo lililoko kwenye moyo na hasa kuchelewa damu kutoka katika chemba ya kushoto inayosambaza damu kwenye viungo vyote mwilini hivyo kupelea damu kujaa katika chemba ya kulia hivyo kusababisha shinikizo katika mishipa ambayo damu yake bado haijapatiwa oksijen lakini pia hali hiyo huambatana na dalili kama maumivu kifuani na kuhisi uzito kifuani ila nenda kapime kwanza tukijua kiwango cha BP yako na kama na dalili kama hizo utakuanazo basi tutajua cha kukushauri na kuna maswali utatakiwa kuyajibu utaporudi humu
Asante ndugu nitakutafutaNitafute mimi Kwa Wakati wako nipate kukutibia upate kupona Maradhi yako. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
Hakuna uzito kifuani wala maumivu yeyote labda kuna muda maskio yanakuwa Kama yanaziba hivii kwa muda,, ngoja nikacheki pressure tuu kwanzaUnaposema mishipa ya kijani nadhani unamaanisha ile mishipa isio na maji kwa wingi( isio na plasma) na pia ni mishipa ambayo bado damu yake haijapatiwa oksijen Sasa kwa kua umesema hiyo ndio inayo kaza Ninachoshauri nenda Hosp kapime Pressure yako kwanza.kwani hilo linaweza kua ni tatizo lililoko kwenye moyo na hasa kuchelewa damu kutoka katika chemba ya kushoto inayosambaza damu kwenye viungo vyote mwilini hivyo kupelea damu kujaa katika chemba ya kulia hivyo kusababisha shinikizo katika mishipa ambayo damu yake bado haijapatiwa oksijen lakini pia hali hiyo huambatana na dalili kama maumivu kifuani na kuhisi uzito kifuani ila nenda kapime kwanza tukijua kiwango cha BP yako na kama na dalili kama hizo utakuanazo basi tutajua cha kukushauri na kuna maswali utatakiwa kuyajibu utaporudi humu
Nimeambatanisha na picha kabisaaaAtakaye elewa anitag
Nashukuru kuelewa kwani hata hiyo dalili ya masikio bado iko kwenye shida hiyo hiyo niliokueleza nenda kapimetu kisha urudi humu jfHakuna uzito kifuani wala maumivu yeyote labda kuna muda maskio yanakuwa Kama yanaziba hivii kwa muda,, ngoja nikacheki pressure tuu kwanza
Nashukuru mkuu Kesho asubuhi before anything Nakwenda kupima kabisa japo sijawahi kufikiria mambo ya pressure kwa Umri huu,, nitarudi hapaNashukuru kuelewa kwani hata hiyo dalili ya masikio bado iko kwenye shida hiyo hiyo niliokueleza nenda kapimetu kisha urudi humu jf
Sawa Fanya hivyoNashukuru mkuu Kesho asubuhi before anything Nakwenda kupima kabisa japo sijawahi kufikiria mambo ya pressure kwa Umri huu,, nitarudi hapa
Neema j swai. Ni kwamba viwango vya shinikizo la damu vinatofautiana sana kutoka Mtu mmoja hadi mtu mwingine na hutegemea sana na Mtu mwenyewe na hii husababishwa na (1)mwili wa Mtu(2)uzito wa mtu(3)maradhi Kuna mtu ambae shinikizo la damu likiwa kati ya 104/61 hua ni sawa Lakini kuna mtu ambae shinikizo lake likiwa hivyo huwa ni tatizo kwake.kwa hiyo Dadaangu kutokana na swali lako hapo hicho kiwango kwa utaratibu wa kawaida sio kibaya kwani vipimo vya 100-140 milimita za zebaki (mmHg) ni kawaida huo ni kwa upande wa Sistolic. Viwango vya 60-90 mmHg ni kawaida huo ni kwa upande wa Diastolic. Upimaji wa Pressure hutolewa hukumu kua una tatizo pale viwango vya juu au vya chini vinapojirudia zaidi ya Mara tatu hivi angalau ili kujiridhisha. Na ni vema upime hospitalini ili ukutane na wataalam waliobobea na ikimtatanisha lazima atakueleza urudi tena kupima Mara ya pili au hata tatuJe ukpma presha ukaandkiwa 104/61 ni iko sawa au kuna tatzo
Asante mkuuNeema j swai. Ni kwamba viwango vya shinikizo la damu vinatofautiana sana kutoka Mtu mmoja hadi mtu mwingine na hutegemea sana na Mtu mwenyewe na hii husababishwa na (1)mwili wa Mtu(2)uzito wa mtu(3)maradhi Kuna mtu ambae shinikizo la damu likiwa kati ya 104/61 hua ni sawa Lakini kuna mtu ambae shinikizo lake likiwa hivyo huwa ni tatizo kwake.kwa hiyo Dadaangu kutokana na swali lako hapo hicho kiwango kwa utaratibu wa kawaida sio kibaya kwani vipimo vya 100-140 milimita za zebaki (mmHg) ni kawaida huo ni kwa upande wa Sistolic. Viwango vya 60-90 mmHg ni kawaida huo ni kwa upande wa Diastolic. Upimaji wa Pressure hutolewa hukumu kua una tatizo pale viwango vya juu au vya chini vinapojirudia zaidi ya Mara tatu hivi angalau ili kujiridhisha. Na ni vema upime hospitalini ili ukutane na wataalam waliobobea na ikimtatanisha lazima atakueleza urudi tena kupima Mara ya pili au hata tatu