Msaada eneo la biashara ya bucha

mavaldo

Member
Joined
Jul 27, 2018
Posts
7
Reaction score
2
Naulizia maeneo ya kufanyia biashara ya bucha ambayo kuna mzunguko mkubwa wa watu na uwezekano wa kupata wateja wengi pamoja makadirio ya kodi ya fremu.

Niko eneo la daressalaam
 
Naulizia maeneo ya kufanyia biashara ya bucha ambayo kuna mzunguko mkubwa wa watu na uwezekano wa kupata wateja wengi pamoja makadirio ya kodi ya fremu
Bila kutaja mkoa/wilaya uliko ni kazi bure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…