Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Habari wakuu.
Nimegraduate mwaka jana. Nikiwa mwaka wa kwanza mkopo ulisumbua kidogo, maana ulikua located chuo kingine nilikochaguliwa. Ila baadae ukaja chuoni kwangu. Bodi walikua waanilipia 100%. Siku za mwisho nnapo clear (mwaka jana), mwasibu anasema eti ada ya mwaka wa kwanza sijalipiwa? Nikikumbuka mwaka wakwanza nili sign boom na ada pia. Ila utaratibu wa pale, ukilipiwa ada kutok bodi, una sign tu bila kupewa document yoyote kuonesha kwamba umesign.
Wakuu hapa nafanyeje? Msaada wa mawazo. Maana vyeti ndio hivyoo vishatoka.