Msaada;Eti ni kweli mkojo ni dawa ya ukimwi

undefine

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
442
Reaction score
1,011
Kwa mujibu wa Dr mzizimkavu

Kuna aliyewahi kupona atupe mrejesho wakuu au mwenye nadharia inayofanana na dawa hii ya ukimwi"mkojo".

Kwa mujibu wa Dr mzizimkavu

Kuna aliyewahi kupona atupe mrejesho wakuu au mwenye nadharia inayofanana na dawa hii ya ukimwi"mkojo".

wew unamsikiliza mzizi mkavu utapotea hakuna kitu kama hicho mkuu mkojo ni taka.sasa utajisababishia magonjwa ya tumbo
 
Nenda kwa [HASHTAG]#usipojipangantakupanga[/HASHTAG] ndo utajua matumizi sahihi na mirejesho yake
 
Kwa mujibu wa Dr mzizimkavu

Kuna aliyewahi kupona atupe mrejesho wakuu au mwenye nadharia inayofanana na dawa hii ya ukimwi"mkojo".

nenda kanunue malaya weka kavu kavu kesho yake nenda angaza kama unao anza kunywa mkojo!!!majibu utakayoyapata naamin utanipenda
 
Mkojo wa simba jike ndio nikisikia unafaa ila awe hajala siku tatu umkamate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…