Msaada Excel 2003,2007

Ziltan

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
2,672
Reaction score
6,880
Heshima mbele wakuu,
nnahitaji print kazi yangu hapa,
lakin katika setup zangu kwenye kipengengele cha Header/Footer inagoma kupokea character zaidi ya 250,
wakati kuna kazi hapa ina character zaidi ya 1000,
naomba msaada namna ya kuingiza character zaidi,
natanguliza shukran.
C.c Samaritan,
Mr madevu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…