Msaada;external supervisor na mchango wake open university

hahaha always done

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
1,126
Reaction score
1,973
NI HIVI ,, UMEMALIZA COURSE WORK KTK LEVEL YA POSTGRADUATE.
UNAPEWA SUPERVISOR, HAKUTAFUTI WE NDO UNAMTAFUTA ,BAADA YA MUDA UNAGUNDUA NI MVIVU,
SIJUI ANA MAMBO MENGI,,,SASA NATAKA MTOE USHAURI,,
JE ALT INAWEZA KUWA NI EXTERNAL SUPERVISOR, ?

LAKINI JE, UNARUHUSIWA KUTAFUTA EXTERNAL SUPAVISOR BILA YA KUWASILIANA NA YULE WA KWANZA?
NA JE EXTERNAL ANA MCHANGO GANI HUKO OPEN KWA CASE ZA MASUPERVISOR WAVIVU
NA.......INAWEZEKANA HAWA OPEN WAKAWA NA SPECIFIED TIME KWA AJILI YA KUWASIMAMIA WA2 RESEARCH?
NIMEULIZA HIVO COZ WAO WANAGAWA WASIMAMIZI MWEZI WA 2,,LAKINI KILA UKIWASILIANA NAO WANADAI WANAMARK EXAMZ,,,MARA WANAKWENDA NJE ,,MIEZI INAKATIKA MARA MWAKA
SASA HII HALI INALETA UTATA SANA

NAOMBENI MSAADA WA MAWAZO YENU KAMA EXTERNAL INAWEZA KUWA NI SULUHU:help:
OTHER WISE KAMA KUNA NJIA NYINGINE YA KUMALIZA TATIZO TUAMBIANE
 
andika barua kwa coordinators wa programme kabla ya chochote. Hiyo ni supervised work so u cant decide by yourself.
 
Discuss wirh your DRC, nilishafanya hiyo ya kuchukua external lakini kwa ruhusa yao, then huyo utake amua kuwa superviser wako watahitaji cv yake (current), wakiridhika watakupa uanze kuanza research na superviser wako watajuana nae yeye kadri watakavo mwelekeza. Hii imekuwa kitambo, sijua kwa sasa ikoje...see the DRC please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…