Msaada: faculty ipi nzuri na naweza kuchaguliwa kwa haya matokeo

Gs haina impact yoyote ktk kuomba chuo dogo,we omba tu haina madhara kabisa hyo.over
 
Nina phy-E, adv-D na chem-C but nina F ya Gs... Ndoto zangu ni kusoma engineering, je kati ya civil,mining na petroleum, ipi nzuri wadau

Nadhani Perry yuko sahihi, adhabu ya kufeli GS ni kwenye cheti chako, badala ya kuandikiwa daraja ulilostahili, unaweza andikiwa daraja la chini licha ya kwamba umefaulu.

Kwenye kuchagua kozi wataangalia masomo yanayohusika na hiyo kozi umefaulu vipi.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha. Yaani unafunga kamba kuliko babu yangu. GS ni either F ama S. toka hapa!
Mwenzio nilipata B+ ya GS, chezea mimi weye...Back to topic...
Unacho apply sio faculty kama ulivyoandika kwenye heading, una apply kusoma course au degree programme, kila la kheri...
 
Hahaha. Yaani unafunga kamba kuliko babu yangu. GS ni either F ama S. toka hapa!

Ohoo.... miaka ile tunasoma wenye akili tulikuwa wachache sana, sasa mimi nilipiga hiyo G.S hadi wakaona aibu kuniwekea S , wakaniwekea B+ kwa mbinde....
 
Hahahaha. Haya bwana. Ja0o mie nahisi gs nilipata A kabisa!
Ohoo.... miaka ile tunasoma wenye akili tulikuwa wachache sana, sasa mimi nilipiga hiyo G.S hadi wakaona aibu kuniwekea S , wakaniwekea B+ kwa mbinde....
 
GS inakuongezea point za kuchaguliwa. Nadhani ina 0.5 kama nakumbuka sawasawa. Hebu ngoja nijikumbushe:

A=5
B= 4
C=3
D=2
E=1
S=0.5

Gs haina impact yoyote ktk kuomba chuo dogo,we omba tu haina madhara kabisa hyo.over

Last edited by a moderator:
GS inakuongezea point za kuchaguliwa. Nadhani ina 0.5 kama nakumbuka sawasawa. Hebu ngoja nijikumbushe:

A=5
B= 4
C=3
D=2
E=1
S=0.5

Ahsante ndugu yangu, unajua kwa sababu huwa wanasema masomo matatu nikadhani wanaihesabia kama masomo yetu ya dini, thanks again.

Ubarikiwe
 
INGIA MINING chuo unapata ila COeT sinauhakika......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…