Msaada-Fail zote kwenye Computer yangu zimefutika/zimepotea nifanyaje?

Msaada-Fail zote kwenye Computer yangu zimefutika/zimepotea nifanyaje?

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
1,033
Reaction score
723
Natumia Window xp,
iligoma kufanya kazi kwa siku nzima ,nikaamua ku-repair kwa kutumia CD na ikafanikiwa kuirejesha kwenye hali yake.

Lakini pamoja na programme zote kuwepo lakini mafaili yote yaliyokuwa kwenye My Doc,Destop nk yamefutika kabisa.

Lakini nikitazama ukubwa wa hard disc naona bado inaoonesha kuwa kuna nafasi iliyokuwemo kabla ya kazi hiyo,hali inayoonesha kuwa mafail yake uenda labda yapo sehemu fulani.

Je nawezaje kuyapata,mengine ni ya video,yanaukubwa wa 140 GB

Nifanye nini,je programme ya Recover my file inaweza kuyatafuta,naipataje

Nisaidie wakubwa
 
nadhaniyatakuwa yametafunwa na virusi hayo ila subiri tu wataalamu watakujibu. Pole sana!
 
...je programme ya Recover my file inaweza kuyatafuta,naipataje

Nisaidie wakubwa
Mkuu haya mambo ni ya kujaribu... Kwa hiyo wewe jaribu kutumia hiyo programme unaweza, I mean mara nyingi itarecover file zako.
 
Nenda C >> Documents and Settings angalia kwenye folder za humo. Pia unaweza kutumia search, Start >> Find(Search) . Kwenye options za search hakikisha unaweka isearch kila kitu na hidden and system folders.
 
Back
Top Bottom