Ndugu zangu natumaini ni wazima mimi nasoma mwaka wa kwanza civil eng pale MUST. Natafuta sehemu ya kufanyia field practical kwani hadi sasa sijapata kila ninapoenda naambiwa wamejaaa hivyo kwa yeyote anayeweza kunisaidia please afanye hivyo...0714600767
duuh field unafanya bure na hamna nafasi..je mtu akiomba kazi..??pole kijana nitawaskiliza wadau wangu flan wao wamemaliza mwaka wa pili ardhi then nitakupa feedback
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.