Ndugu zangu natumaini ni wazima mimi nasoma mwaka wa kwanza civil eng pale MUST. Natafuta sehemu ya kufanyia field practical kwani hadi sasa sijapata kila ninapoenda naambiwa wamejaaa hivyo kwa yeyote anayeweza kunisaidia please afanye hivyo...0714600767