RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,707
- 11,365
Unasoma chuo gani?? Upo mwaka wa ngapi? Umeshafanya field ngapi? Wapi? .....jibu hapo tupate pa kuanzia!!
Asante mkuu kwa ushauli wako.But unafikiri naweza kwenda gerage ipi ambayo baadae wanaweza nipigia mihuli field report yangu ntakayokuwa nimeiandaa.
Ikosehemu gani na email address ya hizo sehemuMm n mechanical engineering mwenzako
Nko NIT
nakushaur unweza ukaenda SUMA JKT,LUGALO
Pande za Mwenge