EvJ Senior Member Joined May 3, 2011 Posts 194 Reaction score 25 May 28, 2011 #1 Jaman wana jamii wenzangu,naomben mnisaidie kutafuta nafasi ya field,nasoma mwaka wa kwanza diploma ya artechture.plz m
Jaman wana jamii wenzangu,naomben mnisaidie kutafuta nafasi ya field,nasoma mwaka wa kwanza diploma ya artechture.plz m
G Godwine JF-Expert Member Joined Jan 15, 2010 Posts 1,371 Reaction score 283 May 28, 2011 #2 EvJ said: Jaman wana jamii wenzangu,naomben mnisaidie kutafuta nafasi ya field,nasoma mwaka wa kwanza diploma ya artechture.plz msaada wenu Click to expand... nadhani wewe hufahamu kozi unayosoma, nadhani wewe unasoma architecture. usijali mwone mwalimu wako Mosha mwambie akushirikishe kwenye michoro yake aliyopewa na NSSF nadhani itakuwa field nzuri kwani ukirudi utafanya vema kwenye somo la studio
EvJ said: Jaman wana jamii wenzangu,naomben mnisaidie kutafuta nafasi ya field,nasoma mwaka wa kwanza diploma ya artechture.plz msaada wenu Click to expand... nadhani wewe hufahamu kozi unayosoma, nadhani wewe unasoma architecture. usijali mwone mwalimu wako Mosha mwambie akushirikishe kwenye michoro yake aliyopewa na NSSF nadhani itakuwa field nzuri kwani ukirudi utafanya vema kwenye somo la studio