Junior_94
Member
- Mar 20, 2021
- 6
- 8
Nina flash ya san disk gb 32 nkiiweka kwenye pc haisomi na hata nkitaka kuiflash pc inakua nzito kulko kawaida had inaandika pc not responding hadi niichomoe ndo pc itarudi kwenye hali yake ni aina gan ya virusi na ntasolve vipi hili tatzo plz share ur idea with me.
Nimejaribu hadi kuformat kwa CMD pc inaload muda mref inashndwa kufanya kazi hadi nichomoe flash
Nimejaribu hadi kuformat kwa CMD pc inaload muda mref inashndwa kufanya kazi hadi nichomoe flash