Msaada: FM radio transmitter

Hero Radio

Member
Joined
Jun 30, 2021
Posts
77
Reaction score
92
Heshima kwenu na Kheri ya mwaka mpya 2023!

Toka nikiwa primary nimevutiwa sana na kumiliki RADIO and TV stations kutoka na ukweli kwamba napenda sana journalism na social media kiujumla.

Baada ya kuhitimu chuo, 2016 (Not Journalism) nilifanikiwa kuanzisha kituo cha redio - local kijijini kwetu. Niliunda kijitransmitter kidogo na studio sikuwa na mixer wala vifaa vyovyote vya kisasa bali ni UFARAGUZI tu ulisaidia.Kituo kilirusha matangazo ndani ya kata moja tu kwa idhini ya serikali ya kijiji kwa miezi minne tu na niliachana nacho coz nilitakiwa nisafiri kwa muda mrefu.

Saivi nimeona fursa mahali, nimerudi hapa ili mchongo usinipite.
... ... ...

Niko hapa kuona msaada kwenu wataalamu wa ELECTRONICS. Nahitaji HOME-MADE FM RADIO TRANSMITTER pamoja na ANTENNA yake zinazoweza kutransmit at least mkoa mmoja (not less than1kW).
DM tufanye biashara kwa aliye tayari kunitengenezea tafadhali.

NB: Nahitaji home - made 'coz bajeti hairuhusu kuagiza za kizungu, pia ni imara na powerful zaidi.

Kwa sasa niko kanda ya ziwa.
Shukrani, MUNGU awabariki na mwaka ukawe wa mafanikio zaidi kwetu sote.
Amen.
 
Zaid ya kw1 ni transmitter kubwa na ni very complex but inawezekana...
 
Siku ukitaka kizungu nistue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…