Msaada fomu ya kuomba kutimiwa cheti nacte

KPClassic

Senior Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
103
Reaction score
27
Ndg wana JF natumai mu wazima.Nahitaji msaada wa kupata fomu ya kuomba kutumiwa cheti toka nacte, wameniambi ipo kwenye website yao nimejarbu kuitafuta sijaiona, Ambae anaweza ipata anisaidie either kwa attachment au kwenye email hii mkipindi88@ yahoo.com
 
Ninachojua necta huwa wanatuma vyeti mashuleni. Na form inayopatikana kwenye website yao ni ile ya kutengenezewa cheti kipya kwa waliopotelewa au kuungua kwa vyeti vya awali na kwa wale tu waliomaliza 2008
 
Mkuu mi ni private candidate kilitumwa poster nikachelewa kukichukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…