Msaada FOREX

WALIO TAYARI
-Natoa mafunzo ya forex kwa mbinu za hidden world
-Account Management
Mahitaji ya Account Management
login details na copy za ID zako Nida/Passport/Driving License/Kura zenye majina sawa na login details
Forex Training TZS 450,000/- au $200
Account Management Nachukuwa 45%
Kama kwako ni kinyume na imani haikuhusu hii
Just PM for the service
 
WALIO TAYARI
-Natoa mafunzo ya forex kwa mbinu za hidden world
-Account Management
Mahitaji ya Account Management
login details na copy za ID zako Nida/Passport/Driving License/Kura zenye majina sawa na login details
Just PM for the service
Ni bure au malipo kwenye hizo hidden
 
samahanini naomben tu strategy nzuri zaid kwa wale wazoefu wa FX, I mean strategy kidogo yenye 90% of pip winning....
 
wadau Wa forex kuna investor kanipa akaunti yake halafu tugawane asilimia ya kitakachopatikana kadeposit dola 3500$.
Ila kwa bahati mbaya bado sina uzoefu wa kutosha kwenye hii mishe .je msaada wa mtaalmu yeyote anisaidie kudrive hii akaunti
 
Kutafuta mtu wa kukusaidia humu utapata mtu kama ww vile vile ili akusaidie mwisho wa siku utachoma ac kuna traders wazuri tu na wako proffesional kwa hiyo kazi tena kwa mikataba
 
Tanga
samahanini naomben tu strategy nzuri zaid kwa wale wazoefu wa FX, I mean strategy kidogo yenye 90% of pip winning....
Tangaza dau nothing come for free Nakupa mbili kabisa simple like As fuc#k
 
wadau Wa forex kuna investor kanipa akaunti yake halafu tugawane asilimia ya kitakachopatikana kadeposit dola 3500$.
Ila kwa bahati mbaya bado sina uzoefu wa kutosha kwenye hii mishe .je msaada wa mtaalmu yeyote anisaidie kudrive hii akaunti
Asee kaka naomba unicheki kwa 0742024193. Tufanye kazi niko vizuri FOREX
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura,kitambulisho cha Taifa, Leseni ya Udereva au kitambulisho chochote kinachotambulika na mamlaka husika, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

Templer https://secure.templerfx.com/main?rid=107946
 
naona watu mnspromote sana mabroker vp huwa mnalipwa commision au huwa wanawalipaje
 
capita $50, lot size 0.05.....laverage 1: 500, serious?
 
Its not as easy as you lead us to believe. Kama ingekuwa that easy Bakhresa asingehangaika na maviwanda.

Hiyo ni artificial manipulation ya currency, iko siku moja watasema tu market ime crush na wata wipe off pesa zote ndani ya accounts.
Akili kama hizi, CCM itatawala milele, mkuu hili bando unalotumia kuandika hivi si bola ungetafuta maarifa zaidi juu ya FX market
 
I know a thing or two about FX market even before you were conceived.
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura,kitambulisho cha Taifa, Leseni ya Udereva au kitambulisho chochote kinachotambulika na mamlaka husika, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

TemplerFX | Promo
 
Asee kaka naomba unicheki kwa 0742024193. Tufanye kazi niko vizuri FOREX
Hizi njaa hizi zitafanya watu mtoane roho bure. Uko vizuri maanake ndio nini? πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…