pdozen_nation Member Joined Nov 12, 2015 Posts 50 Reaction score 120 Sep 28, 2023 #1 Wakuu naombaa kuuliza fremu ya duka Mbezi Luis au Kimara naweza pata kwa shingapi kwa mwenzi maeneo ya barabarani barabarani?
Wakuu naombaa kuuliza fremu ya duka Mbezi Luis au Kimara naweza pata kwa shingapi kwa mwenzi maeneo ya barabarani barabarani?
Beberu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2017 Posts 4,548 Reaction score 9,740 Sep 28, 2023 #2 Shida sio bei, shida ni kuipata, Na pia frame hazina bei flat, nyumba hii wanapangisha 100, next nyumba laki 2, Ila kwa hayo maeneo andaa laki na kuendelea, inaweza fika hata 500, ina depend na place tu
Shida sio bei, shida ni kuipata, Na pia frame hazina bei flat, nyumba hii wanapangisha 100, next nyumba laki 2, Ila kwa hayo maeneo andaa laki na kuendelea, inaweza fika hata 500, ina depend na place tu
pdozen_nation Member Joined Nov 12, 2015 Posts 50 Reaction score 120 Sep 28, 2023 Thread starter #3 sawa mkuu nataka senta inzuri nijiegeshe ndio maana nauliza maana uku me nimgeni alafu sitaki kutafuta kwanza madalali
sawa mkuu nataka senta inzuri nijiegeshe ndio maana nauliza maana uku me nimgeni alafu sitaki kutafuta kwanza madalali
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Sep 28, 2023 #4 Pita jiji tanzania na kwa madalali wanaopost fremu maeneo hayo itakuwa rahisi kufanya tafiti. Ila fremu za barabarani hasa zilizouma lami ni gharama last year zilikua 150K+ na inategemea na mzunguko wa watu mahali unapohitaji.
Pita jiji tanzania na kwa madalali wanaopost fremu maeneo hayo itakuwa rahisi kufanya tafiti. Ila fremu za barabarani hasa zilizouma lami ni gharama last year zilikua 150K+ na inategemea na mzunguko wa watu mahali unapohitaji.
Beberu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2017 Posts 4,548 Reaction score 9,740 Sep 28, 2023 #5 pdozen_nation said: sawa mkuu nataka senta inzuri nijiegeshe ndio maana nauliza maana uku me nimgeni alafu sitaki kutafuta kwanza madalali Click to expand... Mkuu kupata frame nzuri, tena kwa mgeni na maeneo hayo, hukwepi madalali, mana wao ndo wana details chumba kipi hakina mtu, unless kamvue mtu mwenyewe
pdozen_nation said: sawa mkuu nataka senta inzuri nijiegeshe ndio maana nauliza maana uku me nimgeni alafu sitaki kutafuta kwanza madalali Click to expand... Mkuu kupata frame nzuri, tena kwa mgeni na maeneo hayo, hukwepi madalali, mana wao ndo wana details chumba kipi hakina mtu, unless kamvue mtu mwenyewe