Msaada: Friji yangu inachachisha chakula

Msaada: Friji yangu inachachisha chakula

only mi

New Member
Joined
Feb 28, 2018
Posts
2
Reaction score
0
Naomba msaada kwa anaejua kutatua tatizo hili,Fridge yangu inachachisha chakula ila kwenye freezer inagandisha vizuri
 
Naomba msaada kwa anaejua kutatua tatizo hili,Fridge yangu inachachisha chakula ila kwenye freezer inagandisha vizuri
So sehemu ya kawaida haina ubaridi? Check compressor itakua haipeleki gas ya kutosha...
Muite fundi fridge
 
Muite fundi aje kuicheki, itakuwa compressor haipeleki gesi upande huo.

Kwa muda huu ambao fundi bado hajaja, we hamishia vyakula kwenye upande wa freezer; visiendelee kuchacha.
 
Back
Top Bottom