MtamaMchungu JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 8,974 Reaction score 12,662 Jun 7, 2019 #1 Habari wanabodi, Kama heading inavyojieleza, nahitaji msaada wa fundi mzuri wa Suzuki, Hapa Dar, kwa mwenye jina, alipo na contacts za fundi, please post here
Habari wanabodi, Kama heading inavyojieleza, nahitaji msaada wa fundi mzuri wa Suzuki, Hapa Dar, kwa mwenye jina, alipo na contacts za fundi, please post here
S sawabho JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 5,286 Reaction score 3,111 Jun 7, 2019 #2 MtamaMchungu said: Habari wanabodi, Kama heading inavyojieleza, nahitaji msaada wa fundi mzuri wa Suzuki, kwa mwenye jina, alipo na contacts za fundi, please post here Click to expand... Hata kama yupo Kigoma ?
MtamaMchungu said: Habari wanabodi, Kama heading inavyojieleza, nahitaji msaada wa fundi mzuri wa Suzuki, kwa mwenye jina, alipo na contacts za fundi, please post here Click to expand... Hata kama yupo Kigoma ?
MtamaMchungu JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 8,974 Reaction score 12,662 Jun 7, 2019 Thread starter #3 sawabho said: Hata kama yupo Kigoma ? Click to expand... Hamna shida, anaweza kunipa ushauri wa kiufundi, lakni preference ni Dar
sawabho said: Hata kama yupo Kigoma ? Click to expand... Hamna shida, anaweza kunipa ushauri wa kiufundi, lakni preference ni Dar
Rusumo one JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 3,458 Reaction score 4,283 Jun 7, 2019 #4 Ngoja nitakupa fundi ila yupo dar