Msaada funguo ya pikipiki imegoma kuwasha wala kutoa sterring lock

danhoport

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2020
Posts
1,984
Reaction score
4,502
Ni pikipiki aina ya boxer 125, imegoma ghafla tu niliipaki usiku nikazima ila cha ajabu asubuhi imekataa kutoa lock, wataalamu shida inaweza kuwa nini na inasababishwa na nini na je ni kawaida tu au kuna shida mahali?
 
Kuna shida mahali rudisha pikipiki ya watu, ingekua ni shida ya starter, sterling lock ingefunguka, haiwezekani zote zigome siku moja kwakutumia funguo wake.
 
Pikipiki kuwasha siyo lazima utumie ufunguo
 
Ni pikipiki aina ya boxer 125, imegoma ghafla tu niliipaki usiku nikazima ila cha ajabu asubuhi imekataa kutoa lock, wataalamu shida inaweza kuwa nini na inasababishwa na nini na je ni kawaida tu au kuna shida mahali?
Una mafuta ya mwamposaa na maji karibu mwagua HAPO

Nipe MREJESHO mkuu kama huna kanunue kawe bk 2
 
Ni pikipiki aina ya boxer 125, imegoma ghafla tu niliipaki usiku nikazima ila cha ajabu asubuhi imekataa kutoa lock, wataalamu shida inaweza kuwa nini na inasababishwa na nini na je ni kawaida tu au kuna shida mahali?
Kabla sijamaliza naona wameitupia Pepo la kifo YAAN isiwake kabisa kuwa makini na uendeshaji ikiwaka watakuwahi kwenye ajali ndio mana NASHAURI nenda kachukue mafuta na maji ya mwamposa
 
Shida yangu nataka nijue hili tatizo ni common kwa watumiaji wa pikipiki au ndo limenitokea mimi tu
 
Back
Top Bottom