So hiyo ya juice ulikuwa ukifanya ww amaMaduka ya hivyo yapo mengi mno katoro simshauri afanye hiyo biashara kuna biashara za kihuduma
Kuna fursa ya kuuza juice ya matunda Hii hakuna mtu anaeifanya pale katoro nilikosa usimamizi tu
Yap yap mbn anaweza Fanya makubwa uzuri kule kuna mzungukoAta hiyo ni nyingi mno akikomaa vizuri
Mwaga wino kwenye hiyo ya juiceMaduka ya hivyo yapo mengi mno katoro simshauri afanye hiyo biashara kuna biashara za kihuduma
Kuna fursa ya kuuza juice ya matunda Hii hakuna mtu anaeifanya pale katoro nilikosa usimamizi tu
No sikufanya ila niliiona km fursaSo hiyo ya juice ulikuwa ukifanya ww ama
Pamoja mkuuAsante myn, wish ntakukutaga, una positive perspectives sana,
Nimependa.
waha na warundi ni wengi sana maeneo hayo huenda ndo wanaobadilisha mjiKote bukombe kwenda mpaka bmulo uko kuna fursa nyingi sema wasukuma tatizo akisha Kula akashiba akapata ela ya kununua redio na baskeli ndo kamaliza
Mkuu yani wakiona we una kafudhi tofauti na wao basi utapendwa mpaka basi ni shida afu kwa nn hawajiheshimu wale akina mayo wanagawa gawa tu khaaaHahahhaha nawapenda hawa kabila kubwa wanapenda san wageni.
Usikate tamaa mkuu mtegee alie kuumba, Juhudi, Ubunifu na uaminifu In Shaa Allah siku moja utakuwa pale unapo takaSawa mkuu.
Lete huo mchele hapa hebu kama unanikuna alafu unaacha ndio nn sasaNo sikufanya ila niliiona km fursa
Juice, maji, matunda na bitesMwaga wino kwenye hiyo ya juice
Mkuu hiyo inaweza hitaji mtaji wa sh.ngapi?Vile vile unaweza ukaenda kwene migod midogo midogo ukaoshe marudio na kupiga ukware, unaweza kuwa mponjaji kwene maduara
Mkuu wasukuma wanapenda juice kweli? Kuna sehemu nlikuwa naendaga kunywa juice ya miwa bt jamaa hakudumu alibadiri gia angani akanambia inampa shida kidogo biashara hyoMaduka ya hivyo yapo mengi mno katoro simshauri afanye hiyo biashara kuna biashara za kihuduma
Kuna fursa ya kuuza juice ya matunda Hii hakuna mtu anaeifanya pale katoro nilikosa usimamizi tu
Nitakucheki mida unipe details saiz naingia misheInalipa nayo