Kule majira ya joto yanachukua muda mrefu juice inanywekaMkuu wasukuma wanapenda juice kweli? Kuna sehemu nlikuwa naendaga kunywa juice ya miwa bt jamaa hakudumu alibadiri gia angani akanambia inampa shida kidogo biashara hyo
Poa poaNitakucheki mida unipe details saiz naingia mishe
wanasukuma tunakula miwa siyo juice ya miwa aha ha aa akiuza miwa sawa, jiuce akuza dare salaamaKule majira ya joto yanachukua muda mrefu juice inanyweka
Huyo kuuza juice ya miwa isingekuwa rahisi kulipa sababu miwa wanayo wanashinda nayo wanaila mpk basi sio rahisi tena aje kununua juice ya miwa
Nimekuelewa ngosha, hata mikufu mnavaa ya dhahabu za kariakoo na kariakoo wanavaa mikufu ya dhahabu za katorowanasukuma tunakula miwa siyo juice ya miwa aha ha aa akiuza miwa sawa, jiuce akuza dare salaama
🙂🙂Nimekuelewa ngosha, hata mikufu mnavaa ya dhahabu za kariakoo na kariakoo wanavaa mikufu ya dhahabu za katoro
Ubuyu mtamu mkuu. Je kwa kupiga chench nzuri nguo znafaaKatoro ni mji unaopakana na sehemu zenye population kubwa ya watu Geita, buseresere na chato hivyo kuna uhitaji mkubwa wa hotel za gharama nafuu kwa watu wanaotoka mikoa mbalimbali wakisafiri kuelekea bukoba au kwenda kuchimba madini nyarugusu hata geita
Asilimia kubwa ya wakazi wa geita hutegemea kupata mahitaji kwa gharama nafuu kutoka katoro mimi ni mmoja wa watu niliobahatika kufanya kazi mkoa huo na kufanya biashara ya kuuza nguo za aina zote bidhaa zote nilikua nikizifata katoro
Kama unaoa msukuma,inabidi uwe na bajeti ya kupanga nyumba kubwa,usishange baba mkwe na mama mkwe wanakuja kukusalimia na wanakaribisha na majirani kama kumi kuwasindikiza,wakifika kama msosi si haba watakaa hata wiki 2,wanaondoka kwa muda na baada ya siku nane unapokea ugeni tena,wako radhi walale chini ilimradi msosi upo na kwako kuna Luninga.Oa msukuma kama Hukai Usukumani,Dar hawawezi kukufuataN.a. akioa watu wana ligi za kuchapiana wake zao hata watoto asee
Juice kwa Katoro achana nayo. Wanywaji hakuna.Juice, maji, matunda na bites
Yaaap wako hivyo. Bora ingekuwa kijjn uwapeleke shamba ASA mjini ni shidaKama unaoa msukuma,inabidi uwe na bajeti ya kupanga nyumba kubwa,usishange baba mkwe na mama mkwe wanakuja kukusalimia na wanakaribisha na majirani kama kumi kuwasindikiza,wakifika kama msosi si haba watakaa hata wiki 2,wanaondoka kwa muda na baada ya siku nane unapokea ugeni tena,wako radhi walale chini ilimradi msosi upo na kwako kuna Luninga.Oa msukuma kama Hukai Usukumani,Dar hawawezi kukufuata
Wanauza kwa mashindano.Uku cheap Sana sijawai kujua ni kwanini
Dagaa wakavu wana bei gani?Anza kusafilisha dagaa itakufaa sana maeneo hayo kuleta mikoa yetu hapa kama moro, singida dom nk
Mkuu unaujua msosi Wa Christina? Machame? Shida sanaNaijua sana katoro hakuna kona ambayo sijui kwenda mpaka bwanga
Katoro haina mitaa kivile.....ulizia club....lorge....baa...Runzewe ni katoro??
Je maeneo gan pazur katoro.
Mkuu unataka kusema ukifungua duka la nguo linalipa sana? Na mabasi yapo ya moja kwa moja kutoka dar na nauli kiasi gani mkuu?Mkuu kama ni biashara wapelekee nguo mkuu za shop kakusanye pale kariakoo wanazomwaga chini kule wanauza bei nzuri sana, visendo vya wadada mikufu ya dhahabu ya kariakoo,
Mkuu inaonekana wewe ni ngoni mwenzangu upo wapi?Vile vile unaweza ukaenda kwene migod midogo midogo ukaoshe marudio na kupiga ukware, unaweza kuwa mponjaji kwene maduara
Dhahabu zipo nyingi mkuu?Kule majira ya joto yanachukua muda mrefu juice inanyweka
Huyo kuuza juice ya miwa isingekuwa rahisi kulipa sababu miwa wanayo wanashinda nayo wanaila mpk basi sio rahisi tena aje kununua juice ya miwa
[emoji1] [emoji1]Kama unaoa msukuma,inabidi uwe na bajeti ya kupanga nyumba kubwa,usishange baba mkwe na mama mkwe wanakuja kukusalimia na wanakaribisha na majirani kama kumi kuwasindikiza,wakifika kama msosi si haba watakaa hata wiki 2,wanaondoka kwa muda na baada ya siku nane unapokea ugeni tena,wako radhi walale chini ilimradi msosi upo na kwako kuna Luninga.Oa msukuma kama Hukai Usukumani,Dar hawawezi kukufuata