Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

Santee mkuu, overbiew hyo.

Vipi hao mafundi wa nn
 
Biashara ya dhahabu ni nzuri sana ila inategemea unataka kuwa Nani.?
Mnunuzi mkubwa ?
Mnunuzi Mdogo?(kota,broka)
Mdhamini wa migodi (madura)
Uwe unakodisha vifaa vya uchimbaji. Kama pump...copresa....
Mambo ni mengi sana hukosi cha kufanya
Vp mnunuzi mdogo mtaj unaeza anzia sh ngap

Vp hamna ujanja ujanja ka wa dar kwe madin?

Vipi unanunua dhhab kwa gm na ni sh ngp eti gram mkuu
 
Vp bado wanahio. Michezo ya kuuza kindez ndezi??

Ndumba I don care coz nimetoka kaskazini maji yaanapanda mlima.
 
Hapana uwe na cash muda wrote. Mzigo unakuja. Kama ni broker usikae Katoro. Zunguka migodini. Au senta zenye machimbo kama Rwamgasa... Nyarugusu.....
Hapo unanunua tuu scale.
Matapeli nao wapo wengi tuu kaa chonjo
Aaah fafanua bhna, vp wananunuaje kwa gram au kivp,

Je mtaj a broker unaeza anzia sh ngap
 
Njoo fungua sehem ya kusaga Mawe. Mtaj around 20mil. Unaweka makarasha mawil ya kusaga.....mambo yakienda sawa unauza kufusi after 6months unaeza pata 100mil kutegemea na PP
We veteran ee
 
Pia kuna waganga Wa kienyeji wanakupa dawa unaenda GGM bila kuonekana unachukua pure gold(matofali) uwezavyo na unatoka salama. Hizi hazina mashart ya dam wala kafara yoyote.
Nyota yako iking'aa unapewa
Hehehehw mungu wangu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…