Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

Kama vip namimi nisaidie nimpate huyo mganga anipe dawa...niingie goldroom nichukue dhahabu mkuu...mana ''nimetinga''
sana lakini no changes..
Njoo upimwe mkojo Mkuu. Kama utahimili unapewa
 
Nenda katoro,mm ni mzaliwa wa hapa katoro biashara ya simu na sepear zake zitakutoa sana...kwahy njoo katoro
 
Vipi kuhusu biashara ya duka la madawa ya binadamu na duka la madawa ya kilimo/mifugo?
 
Katoro ipi ya chumba elf 20??
Mm nimekaa stamico, ccm na kilimahewa katoro nyumba za kupanga ni shida hata madalali hamna kule.
Vipo Mkuu unataka nn nikuunganishe?
Tena single 10
 
Nenda katoro,mm ni mzaliwa wa hapa katoro biashara ya simu na sepear zake zitakutoa sana...kwahy njoo katoro
Ndugu mwakatoro naomba kuuliza haya
1. Huduma za kijamii zimekaaje umeme,maji na barabara
2.kiusalama pakoje
3.je vipi kuhusu hospital na hali ya hewa?
4. Nyumba za ibada na starehe
5.usafiri na wingi wa watu.
Ni hayo tu
 
Pako vizur mkuu na pia pamezungukwa na vijiji vingi vinavotegemea mahitaji hapo katoro vifaa vya ujenz,umeme,mavazi,vyombo vya moto kama pkpk,bajaji utauza pia.,maduka ya jumla nk kwa kifupi kwa biashara ni uwezo wako tu t.
 
Ndugu mwakatoro naomba kuuliza haya
1. Huduma za kijamii zimekaaje umeme,maji na barabara
2.kiusalama pakoje
3.je vipi kuhusu hospital na hali ya hewa?
4. Nyumba za ibada na starehe
5.usafiri na wingi wa watu.
Ni hayo tu
Usafiri SAA 24,nyumba za ibaada zipo ila za starehe c nyingi,usalama upo, umeme upo,hospitali zipo ndogo ngodo japo c mbali sana kufika Geita mjini maana balabala n Rami toka bukoba yo mwanza...no wewe tu mkuu
 
Wabeja sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…