Utachoma fedha kwa biashara hiyo. Pande za Geita na Katoro ni miongoni mwa sehemu ambazo wananchi wanaamini sana Waganga wa kienyeji sasa ukija na biashara ya duka la dawa ni kweli utapata fedha lakini sio kwa kiwango unacho fikiriaVipi kuhusu biashara ya duka la madawa ya binadamu na duka la madawa ya kilimo/mifugo?
BIASHARA YA VIFAA VYA UJENZI NA SEKTA NZIMA YA UJENZI INALIPA KWASABABU KATORO INAKUA KWA KASI.Mji wa Katoro unakuwa kwa kasi, hivyo biashara ya vifaa vya ujenzi na chakula inaweza kulipa zaidi.
Mkuu Mushi92 , habari ndugu.
Tangu zamani huwa nipo interested sana kutafuta riziki kupitia sector ya madini. Ni uhaba wa mtaji ndiyo umekuwa ukinikwamisha, ila pia kutokuyafahamu vizuri madini ni changamoto nyingine.
Mie nataka kufanya 'ukota' kwenye dhahabu tu! Naplan kuja Katoro, na kwenda kujikita pale Msasa kwaajili ya kufanya ukota. Najua ukota hauna limitation ya mtaji... hata mtaji wa gram 3 naweza anza.
Niwe muwazi na mkweli, SIIJUWI dhahabu. Dhahabu siifahamu kabisa!
Natarajia kuja Katoro/Msasa siku ya Jmosi week hii kufanya kasurvey kuhusu suala hili.
- Ombi... kama inawezekana upande wako mkuu, je waweza kuwa mwalimu wangu kunifundisha na kunipa uzoefu wa kuijua vizuri dhahabu ilivyo?
- Ukota unaweza fanyika informally kienyeji? ama kuna taratibu za kisheria ambazo ni lazima kuzitimiza kwanza?
- Ni vifaa (vitendea kazi) vipi vya lazima kuwa navyo ili kufanya ukota?
Mambo yamekuwa taiti sana huku jijini, tunan'gang'ania kukaa mijini huku mifuko imetoboka haswa. Hatuna kitu. Kama kijana, nimeona sasa ni wakati kwenda popote kusaka maisha. Popote kambi.
Natanguliza shukrani.
Karibu Mkuu.
Andaa ela ya mzani ni laki 2.
Mtaji angalia iwepo kias ili usiwe unahangaika mwenda sonara kil mara..
Cha zaidi ni ujanja wako na mvuto......
Huo ni Kama mji mmoja maana umeunganaBuseresere au katoro mkuu?
Mkuu vipi kuhusu miradi ya kukoboa na kusaga nafaka ushindani ukoje hapo katoro?Biashara ya pombe cjajua vzr coz situmii lkn mwingiliano wa watu n mwing
Bado unafanya Biashara hii Mkuu?Wakuu mlioko katoro naomba msaada wenu. Nahitaji contact ya mfanyabiashara wa nguo za mtumba. Nataka kufanya nae biashara mimi niko Dar. Thanks.
Mkuu maeneo ya kuweka Crusher yanapatikana??Mashine inasaga Mawe.... Ule unga unaoshwa (process za kupata dhahabu kwa njia ya mercury) then mabaki inabaki nayo wewe ambayo yana 75%ya dhahabu. Yale mabaki unarundika unapata kifusi cha tani kadhaa baada ya muda mfan let say miez 6 unauza na Mashine zako bado mpya. Labda cha kubadili ni gololi hata za laki 3 znatosha
Yapo mengi mnoMkuu maeneo ya kuweka Crusher yanapatikana??
Kuna jamaa angu aliweka Nyarugusu wakaja vurumishwa na BarakaYapo mengi mno
maeneo Ni mengi inategemea unataka kuset wapi.Mkuu maeneo ya kuweka Crusher yanapatikana??
Mkuu, kama hautojali unaweza fafanua iyo 20m ya mtaji inafika vipi kwenye iyo amount?Njoo fungua sehem ya kusaga Mawe. Mtaj around 20mil. Unaweka makarasha mawil ya kusaga.....mambo yakienda sawa unauza kufusi after 6months unaeza pata 100mil kutegemea na PP
Nikiwa na 10 mil nafanya biashara gani paleAta hiyo ni nyingi mno akikomaa vizuri