Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

Daaah, Mkuu, nyie ni moja kati ya watu mlioamsha uzi wangu nlokua na shauku ya majibu ila sikupata kwa wakti.


Asante sana.

Nifafanulie mkuu kuwa salama kivp, (kimwili au spiritually)?
 
Yeah hotel guest na baa ni nyingi Sababu pamezungukwa na watu wa migodi ko biashara ipo sana kuna maduka makubwa ambayo hata dodoma hapa sijayaona nabmkusanyiko wa watu ni mkubwa
So kwa beginners inahitaj li capita likubwa saaana mkuu,

Coz

Ima beginner
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…