Msaada: Fursa za kiuchumi Katoro Geita

Mkuu kama ni biashara wapelekee nguo mkuu za shop kakusanye pale kariakoo wanazomwaga chini kule wanauza bei nzuri sana, visendo vya wadada mikufu ya dhahabu ya kariakoo,
 
Son wory huwa namtanguliza mungu pia.

Then
Nshawai ish sehem zenye rate kubwa ya maambukiz kama mufindi, mafinga, na Igunga
Igunga ni mtoto kwa katoro wewe nimeishi igunga nisijue huko iringa
 
Vile vile unaweza ukaenda kwene migod midogo midogo ukaoshe marudio na kupiga ukware, unaweza kuwa mponjaji kwene maduara
Wew njoo apa nipe maujanja makinikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…