Msaada: Game zuri kwenye simu

Msaada: Game zuri kwenye simu

Simeone

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
905
Reaction score
1,002
Habari wakuu naomba game zuri la action na mabasi kwa simu ya RAM 1GB.

Ahsante.
 
WE JAMAA NI MATAK** YAN CM YA RAM 1 UNATAKA GEMU GAN ZURI FANYA HATA UFIKE RAM 3 URUDI UPATE USHAURI
 
Kwa kuwa umeshasema aina ya games unazopenda ila kuna hii FARMING SIMULATOR tamu sana. Kila mtu aliipenda alipoona naicheza na walitamani kuicheza

images (2).jpeg
 
Niliwahi kupenda games ila saivi naona ni utoto na addiction ya kipumbavu ya kudumaza akili, bora Bata addiction ya Bhange
 
Back
Top Bottom